Kigoma Innovation Challenge

July 19, 2021

 
In promoting Innovative Solutions in the country, UNDP has launched an innovation challenge exercise in Kigoma. The aim of this exercise is to identify Grassroots Innovative Solutions and Business Ideas with potential of tackling socio-economic development challenges in Kigoma region. 
 
  • Innovation Challenge Opening – 19th July, 2021
  • Application forms submission deadline at ward and district government offices -13th August, 2021
  • Coverage: Kigoma region with 8  district councils 
  • Age and sex- 18yrs and above both men and women, Tanzanian nationals only -see more eligibility criteria in the application guideline 
  • Project Partners: SIDO, UNDP, Kigoma Regional Government
  • Prizes: 10M, 8M, 6M, 4M and 2M each for top 5 winners

- Click HERE to download information and instruction about Kigoma Innovation Challenge (KIC)

- Click HERE to download application form

KUWATAMBUA NA KUWASHINDANISHA WABUNIFU MKOA WA KIGOMA

Katika kuchochea suluhisho za ubunifu nchini, Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa MAtaifa (UNDP) Tanzania imezindua mpango wa kuwatambua na kuwashindanisha wabunifu mkoani Kigoma. Lengo la mpango huu ni kusaidia kuibua, kuwatambua na kuendeleza wabunifu wenye uwezo wa kuleta ufumbuzi wa changamoto katika jamii hasa zile zinazowakabili vijana na wanawake na zenye mchango katika kufikia jamii hasa zile zinazowakabili vijana na wanawake na zenye mchango katika kufikia malengo endelevu ya dunia.

  • Shindano litafunguliwa – 19th Julai, 2021
  • Fomu za ushiriki ziwasilishwe kwenye ofisi za wilaya kabla ya tarehe ya mwisho 13 Agosti, 2021
  • Ushiriki: Mkoa wa Kigoma na wilaya zake 8
  • Wawe na umri kuanzia miaka 18, wanawake kwa wanaume
  • Wawe raia wa Tanzania, kwa maelezo zaidi soma kifurushi cha taarifa kwa washiriki
  • Wadau: SIDO, UNDP, Serikali ya Mkoa wa Kigoma
  • Zawadi: 10M, 8M, 6M, 4M na 2M kwa kila mmoja kwa washindi wa 5 wa mwanzo

- Bofya HAPA kupakua kifurushi cha taarifa kwa washiriki 

- Bofya HAPA kupakua Fomu ya ushiriki